Wamekula ya Mbuzi ...Wanaota Mapembe

Migogoro mingi katika bara la Afrika hutokea kwa sababu ya Madaraka, Viongozi wengi wanapotaka kuingia madarakani hutoa ahadi zenye kuvutia kwa wananchi wao lakini mara wanapoingia madarakani utamu wa madaraka huwazidi na kujikuta wakijaribu kadri wawezavyo kubadilisha Katiba ili waendelee kuongoza. Hali ambayo huzusha migogoro. Ama kweli "Wamekula ya Mbuzi sasa Wanaota Mapembe".

Friday, April 07, 2006

Nimerudi!

Nimerudi!

Nimekuwa kimya kwa muda mrefu katika safu hii, hii ilitokana na kujiweka sawa zaidi katika kuwapatia wasomaji wangu na wapenzi wa kutembelea mtandao wa blogu vitu vipya na bora zaidi.

Kutokana na hali hiyo nimerudi upya katika safu hii ya kuwapatia habari mpya zenye mitazamo mbalimbali.

Karibuni sana.

0 Comments:

Post a Comment

<< Home