"Kupanga ni Kuchagua"

Kila mwanadamu ana mamlaka ya kubadilisha maisha yake kwa kutumia mazingira aliyo nayo! Mipango mibovu ya maisha yake husababisha maisha yake kuwa mabovu na Mipango bora ya maisha yake husababisha maisha yake kuwa Bora. Hivyo basi chagua maisha yako unataka yaweje?

Monday, May 09, 2005

8/5 KILA MWAKA FURAHIA MAMA NI SIKU YAKO

Haya mama hii ni siku maalu kwa ajili yako, hivyo basi pamoja na huruma zako zote ulizonionyesha katika harakati za kunilea, ni muda wako sasa kusherekea na kukumbuka machungu yote yaliyokupata katika harakati za kunilea.

HONGERA MAMA kwa siku yako nzuri kama hii.

0 Comments:

Post a Comment

<< Home