"Kupanga ni Kuchagua"

Kila mwanadamu ana mamlaka ya kubadilisha maisha yake kwa kutumia mazingira aliyo nayo! Mipango mibovu ya maisha yake husababisha maisha yake kuwa mabovu na Mipango bora ya maisha yake husababisha maisha yake kuwa Bora. Hivyo basi chagua maisha yako unataka yaweje?

Tuesday, May 17, 2005

Ukimwi Bado ni tatizo kubwa kwetu sisi vijana.

UKWELI ni kwamba Ugonjwa huu umekuwa ni tishio kubwa sana katika rika la vijana ambalo ndio nguvu kazi kubwa ya Taifa letu.

Licha ya juhudi mbalimbali za mashirika yasiyokuwa ya kiserikali pamoja na serikali kwa ujumla bado imeonekana kuwa juhudi hizo hazijaeleweka vizuri kiasi kwamba, maambukizo kuendelea kuwa makubwa katika kila siku na kila mahali.

Soma hapa ili kuona baadhi ya mashirika hayo na sehe,mu yanakojishughulisha na utoaji wa huduma za kujikinga na virusi vya ukimwi ikiwa ni pamoja na ushauri nasaha na mafunzo mbalimbali.Mkoani Dodoma kuna shirika la CMSRna TACAIDS

0 Comments:

Post a Comment

<< Home