Mwanablog aenda kuongeza Elimu Dhidi ya Mazingira
kwa kweli hakuna kitu kizuri katika maisha ya sasa kama Elimu ambayo kama wengi wetu tunavyofahamu kuwa ni msingi wa maisha yetu.
Pamoja na hayo katika haya na kwa kutambua umuhimu huo mwanachama mwenzetu katika Blogu amekwenda katika kozi ya kuongeza ujuzi katika fani ya mazingira ndani ya Chuo Kkuu Cha Mt. Augusitine mjini Mwanza.
Huko ndiko Chimbuko la wanablogu wote kwani karibu asilimia kubwa ya wanablog wamepitia katika chuo hicho wakichukua kozi mbalimbali kama vile Kozi ya Mazingira nk.
kwa ajili ya kumsoma mwana blogu huyo bonyeza hapa

1 Comments:
At 7:01 PM GMT+3, Martha Mtangoo said…
Paula Do you Know Kiswahili? welcom to kiswahili World. ndio maana yake wanablog wengi wamepitia SAUT.
Post a Comment
<< Home