WANA-BLOG WALITOA RAMBIRAMBI KUPITIA BLOG KWENYE MSIBA WA MNARC VIVIEN FOE
Hawa ni baadhi ya wanaBlog waliomkumbuka mchezaji maarufu wa Timu ya Taifa ya Cameroon na Mchezaji mahili wa Manchester City, Marc Vivien Foe, aliyefariki uwanjani katika mechi kati ya nchi ya Ufaransa na Cameroon mwaka 2003.
Ni kifo cha kishujaa katika hali ya kawaida kwani alikuwa akitetea nchi yake kuweza kuingia fainali katika mashindano hayo.
Kwa wakati huo Marc Vivien Foe alikuwa mchezaji wa timu ya Manchester City Kiungo wa kutegemewa katika timu hiyo Soma hapa habari kamili.
0 Comments:
Post a Comment
<< Home