Kwa Muswati Raha sana
HUWEZI amini katika hali ya kawaida kwa nchi zetu za kiafrika jinsi zilivyoathirika na gonjwa la ukimwi ambalo siku hadi siku linazidi kuwa sugu na kupoteza maisha ya waafrika wengi hali inayosababisha kuwepo kwa mayatima wengi wanaoachwa na wazazi wao.
Pamoja na hali hiyo Swaziland, nchi ambayo ni mojawapo kati ya nchi zilizoathiriwa sana na ugonjwa huo inaonekana baado sana wananchi wake hawajapata mwamuko wa kutosha katika vita ya kupambana na ugonjwa huo.
Hapa nakuletea baadhi ya picha zilizopigwa za wasichana vigoli ambao walikuwa wakipita mbele ya mfalme wa nchi hiyo MUSWATI kwa ajili ya kuchaguliwa ili waolewe na mfalme huyo.
Katika hali hii najua kwa wengi ni mtihani mgumu kwani kama unavyoona mwenyewe picha hizo kama ndio ungekuwa wewe ungevumilia kweli vifaa kama hivi vikipita mbele yako na kama ungeweza kuvumilia hebu nisaidie kuchagua kimwana mmoja ambaye unadhani alikuwa Bomba kuliko wote.
2 Comments:
At 5:17 PM GMT+3, vimax asli said…
CARA MEMPERBESAR PENIS
CARA MENGETAHUI WANITA MASIH PERAWAN
TOKO ALAT SEX SEMARANG
VIMAX ASLI IMPORT
At 12:49 PM GMT+3, myslot said…
ต้องเว็บนี้เท่านั้นดูหนังออนไลน์ไม่มีคำว่าสะดุด ดูCaptain Marvel กัปตัน มาร์เวล (2019) ชัดเต็มเรื่องต้อง
https://www.doonung1234.com/
Post a Comment
<< Home