"Kupanga ni Kuchagua"

Kila mwanadamu ana mamlaka ya kubadilisha maisha yake kwa kutumia mazingira aliyo nayo! Mipango mibovu ya maisha yake husababisha maisha yake kuwa mabovu na Mipango bora ya maisha yake husababisha maisha yake kuwa Bora. Hivyo basi chagua maisha yako unataka yaweje?

Monday, October 30, 2006

Kimya kingi

Nilikuwa katika safari ndefu ya kutembelea mashamba yangu ya huko Kapunga ambayo serikali ilitaka kutoa zawadi kwa mwekezaji, lakini kwa sasa nimerudi na niko fiti kwa ajili ya kuendela na kijiwe changu.

pia nawaomba radhi wasomaji wangu kwa kuwa nimekuwa kimya kwa muda huo wote bila kuwaletea mpya zozote katika kona yangu.

0 Comments:

Post a Comment

<< Home